Burudani
Video: Gigy adai yeye ndiye staa wa kike mwenye nguvu Bongo kwa sasa
Msanii wa muziki na video vixen, Gigy Money amedai kwa sasa yeye ndiye staa namba moja wa kike Tanzania mwenye nguvu na pia kutokana na deal mbalimbali ambazo anapata huku akidai kwamba hamjui Wema Sepetu.