Burudani
Video: Huu ndio Mjengo wa Rosa Ree, una thamani ya Milioni 400
Baaada ya kuingia mkatba wa miaka mitatu kuwa chini ya menejimenti ya Dimo Production kutoka Afrika Kusini, huu ndio mjengo aliokabidhiwa rapper Rosa Ree, pia kuna nyumba nyingine nchni Afrika Kusini.