Burudani

Video: Idris abadili muonekano wa ndevu afanane na Messi

Mchekeshaji Idris Sultan amekuwa na muonekano mpya usoni baada ya kubadilisha rangi ya ndevu zake (bleach). 

Idris Sultan akiwa na muonekano wa ndevu sawa na Lionel Messi

Muigizaji huyo amedai amefanya hivyo ili afanane na mshambuliaji wa timu ya Barcelona, Lionel Messi kwani mpenzi wake anampenda sana mchezi huyo hodari duniani kwa kusakata kabumbu.

Idris amedai haitakuwa ni style yake ya mara kwa mara kwani amefanya hivyo mara moja ili kumridhisha mpenzi wake huyo.

Idris Sultan akiwa na shabiki yake

Angalia hapa chini Idris Sultan akifunguka juu ya ishu hiyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents