Burudani
Video: Justin Bieber awapandisha stejini Usher na Akon
Justin Bieber anayeendelea na ziara yake, Purpose World Tour’ amewapa surprise ya nguvu mashabiki wake kwa kuwapandisha jukwaani Usher Raymond na Akon kwenye show ya Atlanta. Akiwa na Usher walitumbuiza wimbo U Got It Bad. Tazama video hapo chini.
https://youtu.be/VLSaJLZvruo
https://youtu.be/sVi4SoL1XAs