Michezo

Video: Kipato cha mashabiki wa Simba ni kikubwa zaidi ya hao wengine- Mo Dewji

@moodewji amesema 68%-70% kwa kila Mtanzania ni @simbasctanzania kwa mujibu wa utafiti waliyoufanya. Mo ameongeza kuwa Kipato cha mashabiki/wanachama wa @simbasctanzania kipato chao ni kikubwa zaidi ukilinganisha na hao wengine.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents