BurudaniVideos

Video: Lloyd – Tru

Msanii mkongwe wa rnb ‘Lloyd‘ baada kuwa kimya amerudi tena kwenye muziki na video mpya wimbo unaitwa “Tru.”, Lloyd alikuwa msanii maarufu sana kupitia lebo ya Murder Inc iliyokuwa na wasanii kama Ashanti na Ja Rule.

Lloyd alisikika mara ya mwisho kwenye muziki mwaka 2012 alipotoa mixtape ya The Playboy Diaries, Vol. 1

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents