Burudani
Apple Music waachia trailer ya documentary ya Cash Money
Kampuni ya Apple Music imeachia trailer la documentary ya kundi la Cash Money ikiwa ni siku chache tangu waliposaini mkataba wa kutayarisha kazi hiyo.
Documentary hiyo imepewa jina la ‘The Cash Money Story: Before Anythang’ huku mtayarishaji wa kazi hiyo akiwa ni Bryan Williams aka Birdman na kaka yake Ronald maarufu kwa jina la Slim.
Kupitia mtandao wa Twitter wa kampuni ya Apple wameandika, “The Cash Money Story #BEFOREANYTHANG. Coming this fall to #AppleMusic.@BIRDMAN5STAR.” life not always bout Tha Money,” ameandika Birdman kwenye mtandao wake wa Instagram.
Tazama trailer hiyo hapa.
https://youtu.be/bPzZWePHmYg