Habari

Video: Mbunge Lugola awaka kuhusu wabunge kukatwa kodi ya mapato ya viinua mgongo

Mbunge wa jimbo la Mwibara Kangi Lugola amesema kitendo cha Serikali kutaka kutaka kodi kwenye mapato ya viinua mgongo vya wabunge hakikubaliki na kumtaka Waziri wa Fedha na Mipango Dk Phillip Mpango kukiondoa kifungu hiCcho katika bajeti kuu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents