Burudani

Video: Mimi ni mtoto, shetani alinipitia: Aliyefungiwa miezi 6 kisa picha za Uchi

Msanii wa filamu na video vixen, Suzan Michael maarufu kama Pretty Kind baada ya kufungiwa na serikali kujihusisha na sanaa kwa miezi 6 kutokana na kupiga picha za uchi, amefunguka kwa kudai kwamba yeye ni mtoto hivyo kufanya tukio hilo alipitiwa na shetani.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents