Habari

Video: Mkutano wa Dkt. Mwakyembe na viongozi wa dini

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe leo amefanya mkutano na viongozi wa dini nchini katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere, Dar es Salaam.

Katika mazungumzo yake Dkt. Mwakyembe amewapongeza viongozi hao kwa kutumia ipaswavyo lugha ya Kiswahili katika mafundisho yao kitu ambacho kinachagia ukuaji nzuri wa lugha hiyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents