Burudani
Video: Monalisa alivyowaweka chini Wema Sepetu na Riyama Ally
Baada ya kushinda tuzo ya The African Prestigious Awards (APA) 2017 kama Msanii Bora wa Kike barani Afrika, Monalisatz amefunguka jinsi tuzo hiyo ilivyomaliza ‘mvutano’ wa Wema Sepetu na Riyam Ally.