Burudani

Video: Msanii Asala aliyeangaika kwa miaka 10 aangukia kwa Tunda Man na kusaidiwa

Msanii wa muziki Asala baada ya kuangaika kwa miaka 10 bila mafinikio, amefika kwa msanii Tunda Man na kufunguliwa njia ya kule aendako kwa mujibu wa msanii huyo.

Muimbaji huyo amedai kumpata Tunda Man na kumshirikisha kwenye wimbo wake mpya ‘Subiri’ umekuwa msaada mkubwa kwenye muziki wake.

“Mtu kukusaidia siyo mpaka akusaini, anaweza kufanya kazi na wewe kama ndugu, akakushauri fanya hivi fanya hivi ili ufike sehemu fulani. Kwangu mimi namshukuru Tunda kwa sababu nimeangalika kwa zaidi ya mika 10 bila mafanikio lakini baada ya kufika kwa Tunda nimeona mwanga kwenye muziki wangu.” alisema Asala.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents