BurudaniUncategorized

Video: Muimbaji Zahara wa SA alivyoitendea haki show ya ‘Vocals Night’

Muimbaji Zahara kutoka Afrika Kusini alifanya show ya nguvu katika usiku wa ‘Vocals Night’ uliohudhriwa na maelfu ya Watanzania. Katika show hiyo mgeni rasmi alikuwa ni Naibu Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Juliana Shonza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents