Burudani

Vocals Night ya Lady Jaydee yapata mafanikio makubwa Dar (Video)

Muimbaji mkongwe Lady Jay Dee Ijumaa hii ameandika historia mpya kwenye muziki wake baada ya kufanikisha show yake ya Vocals Night kwa asilimia 100. Katika show hiyo muimbaji huyo alisindikizwa na waimbaji kama Zahara kutoka SA, Juliana kutoka Uganda pamoja na wasanii wengine wa ndani akiwemo Mwana FA, AY pamoja na Damian Soul.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents