BurudaniUncategorized

Video: Wema hana utoto wowote, asubiri adhabu ya TCRA – Naibu Waziri Shonza

Naibu wa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Juliana Shonza amesema amesikitishwa na kitendo alichofanya Wema Sepetu huku akimtaka kuendelea kusubiri adhabu ya TCRA baada ya Ijumaa hii kupokea adhabu kutoka Bodi ya filamu ya kufungiwa kwa muda usiojulikana.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents