HabariMichezo

VIDEO: Mwakinyo ndiyo Bondia namba 1 Tanzania- Dullah Mbabe amsifia

Bondia Abdallah Pazi ‘Dullah Mbabe’ @official_dullahmbabe smesema kwa sasa @hassanmwakinyojr ndiyo bondia namba moja lazima wampe maua yake sababu ya kazi kubwa anayofanya kwenye mchezo wa Ngumi yeye ndiyo bondia wa kwanza kuzipeleka ngumi Masaki wakati Zamani walizoea maeneo kama Keko, Manzese lakini pia ndiyo bondia wa kwanza kufika ikulu kwahiyo wampe heshima anaupa hadhi mchezo wa Ngumi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents