Burudani

Video: ”Sanaa ya kuchora duniani ilianzia Singida”- Dkt Kiagho Kilonzo

Kampuni ya MultiChoice Tanzania hii leo Januari 6 imefanya uzinduzi wa MasterClass kutoka Multichoice talent Factory, kwa lengo la kutoa mafunzo ya uendeshaji wa masuala ya uzslishaji wa Filamu/Makala/Maudhui nchini Production Management.

Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Dkt. Kiagho Kilonzo amewataka wasanii kubadilika katika kuandaa stori za filamu na kujikita ndani zaidi hasa zile zinazo ihusu nchi.

Wakati Mzalishaji na Muongozaji wa filamu kutoka kenya mwanadada, Appie Matere akiahidi ushirikiano katika kuwapiga msasa wananii hao wa Tanzania.

Na Mkuu wa mawasiliano wa MultiChoice Tanzania Johnson Mshana amesisitiza kwa wasanii wa kuheshimu mchango unaotolewa kwao ili kuhakikisha wanajifunza, mafunzo ambayo yatawasaidia filamu zao kuweza kushindana Kimataifa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents