Burudani
Video: Tazama official trailer ya filamu ya Kiumeni
Kiumeni ni filamu ya Kitanzania inayosubiriwa kwa hamu kubwa. Imehusisha mastaa mbalimbali akiwe Ernest Napoleon ambaye ndiye mhusika mkuu. Na sasa trailer yake rasmi imetoka.
https://www.youtube.com/watch?v=7oGj7bACyBA&feature=youtu.be
Waigizaji wengine walioshiriki ni pamoja na Idris Sultan, Irene Paul, Antu Mendoza, Muhogo Mchungu, Rashid Matumla na wengine.
Filamu itaingia kwenye majumba ya sinema mwakani.