Burudani

Video: Ujio mpya wa Gigy Money baada ya ‘Papa’ kubamba

Msanii wa muziki Gigy Money weekend hii aliingia location na model Calisah kwaajili ya kushoot video ya wimbo wake mpya baada ya kufanya vizuri na wimbo ‘Papa’. Mrembo huyo alifunguka mambo wengi kuhusu muziki wake pamoja na kumzungumzia director Joowzey .

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents