Bongo Movie

Video: Faiza Ally amvaa Snura Majanga, ampa onyo kali!

Muigizaji wa filamu Faiza Ally amemtaka Snura Mushi kutoingilia maisha yake. Mrembo amesema hayo baada ya hivi karibuni kupokea kichambo kutoka kwa mashabiki wake pamoja na wadau wa filamu akiwemo Snura baada ya muigizaji huyo kupost picha mtandaoni inayomuonyesha akiwa ametoka kujifungua.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents