Burudani

Video: Uzinduzi wa studio mpya za kisasa, mastaa wahudhuria, zitaondoa matabaka kwa wasanii

Usiku wa leo zimezinduliwa Studio mpya kabisa ambazo zipo chini ya Producer @davymachords zinazojulikana kama #MEVID. Producer @davymachords ni producer aliyetengeneza ngoma mbalimbali zikiwemo za Weusi @nikkwapili @johmakinitz @lordeyesmweusi na @gnakowarawara na zinginezo zingi lakini pia #GUSA ya @gnakowarawara lakini pia sio Weusi tu bali wasanii wengi sana.

WAkati studio hizo zinazinduliwa wameweza kuhudhuria wasanii mbalimbali na Maproducer wenzake kama vile @lizerclassic wa WCB @moccogenius wa Imagination Soud, @mrttouchez wa Touch studio na wengine lakini pia @dullahplanet

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents