Burudani
Video ya Zigo Remix yafikisha views milioni 4 ndani ya siku 48
Kibaya kinajitembeza, kizuri kinajiuza. Video ya Zigo Remix ya AY na Diamond imezidi kuwa topic kila siku na sasa imefikisha views milioni nne ndani ya siku 48.
Huu unaweza ukawa mwaka wa neema sana kwa Ambwene Yessaya aka AY, baada ya kuachia remix yake ya wimbo wake huo.
Baada ya kufikia hatua hiyo kubwa, AY ameandika: 48 Days 4 Million Views + !!! Thank you soooooo much for the LOVE & SUPPORT ?????????.”