Burudani

Video: Seline adai hawezi kuvaa mavazi ya uchi

Msanii wa muziki wa Injili Seline amedai kama kioo cha jamii hawezi kuvaa mavazi yanayoonyesha sehemu kubwa ya mwili wake katika maisha yake.

Akiongea na Bongo5, mrembo huyo amesema  hawezi kuvaa hivyo kwa kuwa yupo katika dunia ya biashara na anataka kupeleka CV, yake mbele hivyo haoni haja ya kujiharibia maisha yake kwa kuonyesha maungo ya mwili.

“Nipo kwenye Co-operate world nataka kupeleka CV yangu nifanye na big organization I half to be presentable hapa nalinda first Family ni aibu nikifanya hivyo ni aibu kwao, then nalinda career yangu because nimeajiliwa na represent kampuni nayofanyia kazi na tau Iwana have kid,” amesema msanii huyo.

Pia akaongeza “Sitaki kufanya kitu ambacho kitakuwa dis advantage baadaye kwenye maisha yangu because nataka kuwa na famila mwisho wa siku.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents