MahojianoVideos

Vunja bei: Wengi walihisi ntapata hasara kuuza jezi za Simba, sinufaiki na pesa tu (+ Video)

CEO wa TOO MUCH MONEY na MADUKA YA VUNJA BEI @feed_vunjabei ameeleza na kujibu kuhusu wanaodaiwa kupata hasara kuuza jezi za Simba.
Akiongea na @el_mando_tz ameeleza kuwa kwa sasa anatanua wigo kufanya kimataifa na timu kubwa na ameanza na vilabu vya Kenya.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents