BurudaniFahamuHabariMuziki

Wasanii 10 wanaoangaliwa zaidi Spotify, Nigeria 7 Afrika Mashariki hakuna

Moja ya majarida yanaoyotoa takwimu mbalimbali barani Afrika la African Fact Zone limetoa orodha ya wasanii 10 wanaoongoza kwa kusikilizwa katika mtandao ya Spotify.

Katika orodha hiyo ya wasanii 10 wasanii 7 wanatoka Nigeria huku wengine mmoja akitoka Ghana, mwingine Algeria.

Katika ukanda wa Afrika Mashariki hakuna msanii hata mmoja.

Africa’s Most Spotify Monthly Listeners

1. Ckay  – 19 million

2. Tems  – 16.3 million

3. Burna Boy  – 10.8 million

4. Fireboy  – 9.4 million

5. Wizkid  – 7.1M

6. Rema  – 6.6M

7. DJ Yo  – 6.2M

8. Soolking  – 5.8M

9. Amaarae  – 5.7M

10. Mr Eazi  – 5.1M

Unahisi msanii yupo alistahili kuwepo kwenye hii orodha na hayupo ?

Related Articles

Back to top button