Wasanii 7 Afrika wenye subscriber wengi Youtube, Diamond namba 5

Baada ya msanii Naseeb Abdul alimaarufu kama Diamond Platnumz kutoka nchini Tanzania kufikisha Subscriber (Wafuasi ) milioni 7 katika mtandao wa Youtube na kuwa msanii namba moja kusini mwa Jangwa la Sahara ikijumuisha Nigeria na Afrika Kusini.
Bongo five tumekuandalia wasanii 7 wanaoongoza kwa subscriber YouTube Afrika nzima huku Diamond akishika nafasi ya 5 Afrika nzima.
Africa’s Most Subscribed Artistes on YouTube
1. Mohamed Ramadan kutoka nchini Misri ana Subsriber (14.2 million)
2. Saad Lamjarred kutoka nchini Morocco ana subsriber (14 million)
3. Soolking kutoka nchini Algeria ana subscriber (9.5 million)
4. Tamer Hosny kutoka nchini Misri ana subscriber (7.77 million)
5. Diamond Platnumz kutoka nchini Tanzania ana subscriber (7.01 million)
6. Zouhair Bahaoui kutoka nchini Morocco ana subscriber (6.7 million)
7. Balti kutoka nchini Tunisia ana subscriber (6.36M).