Burudani

Wasichana wengi wanamtamani mpenzi wangu – Linah

Linah anaamini kuwa wasichana wengi wanamtamani mpenzi wake, Williams Bugeme aka Boss Mutoto.

11848970_700124753465771_527830011_n

Linah ameiambia E-Newz ya EATV kuwa anachojali yeye ni kuona mambo yake na mpenzi wake huyo kwenda sawa.

“Kikubwa ni changamoto ambazo nakutana nazo, kwahiyo mimi namjali mwanaume wangu kwa sababu ana mwonekano mzuri na ni mwanaume kila mwanamke anatamani kuwa naye,” alisema.

“Kwahiyo kwangu mimi nachukulia kama changamoto na pia vilevile nakuwa proud kwa kuona mtu wangu mimi ni mtu poa. Siwezi kumpangia Mungu anachopanga, malengo ya kila mtu anataka kufika mbali na mpenzi wake,” aliongeza Linah.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents