HabariSiasa

Waziri Mkuu kuahirisha Bunge leo

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya Mawaziri na Naibu Mawaziri mara baada ya kuingia ndani ya ukumbi wa bunge jijini Dodoma.

 

Baadae hii leo, Waziri Mkuu Majaliwa anatarajiwa kuliahirisha bunge baada ya kukamilisha shughuli zake mbalimbali ikiwa ni pamoja na kupitisha bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha wa 2022/2023

Related Articles

Back to top button