Habari

Waziri Simbachawene atangaza vita na wahalifu, asimulia tukio la kuuawa mtoto anayedaiwa ni albino (+ Video)

Sisi na Jeshi la Polisi tumekaa na tumekubaliana mambo kadhaa ya kufanya ili kuondoa kero hii kwa wananchi wetu, tumejipanga kwa mikoa yote Tanzania tutafanya oparesheni mikoa yote pia tulisisitiza ulizi shirikishi, tuna askari elfu 43 lakini Tanzania kuna watu karibia milioni 60, wahalifu tunaishi nao kwenye jamii, ulizi shirikishi unarudi kweli hali yake ya mwanzo”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents