Waziri Ummy awafurahisha wakazi wa Tanga, Madiwani wampigia upatu (Video)

Katika hatua sio ya kawaida baadhi ya madiwani katika Halmashauri ya jiji la Tanga wameanza kumwagia sifa Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii ,jinsia wazee na watoto, Mhe. Ummy MWALIMU kuwa amefanya makubwa katika kata zao hususani katika sekta ya afya.

BongoTV kutokea mkoani Tanga amefika katika kata ya Pongwe iliopo katika Halmashauri hiyo na kufanikiwa kufanya mahojiano na diwani wa kata hiyo, Mhe mbaraka saady ametueleza machache alioyafanya kwenye kata hiyo toka alipochaguliwa mwaka 215 kupitia tiketi ya chama Cha Mapinduzi CCM.

Mbali na hiyo amezungumzia kuhusu miundombinu Barabara ya kata hiyo kuwa wameboresha kwa kiasi kikubwa kwa baadhi ya maeneo ya vivuko.

Written and edited by @kaimitehassan

Related Articles

Back to top button