HabariMichezo

Yanga walikuwa na ‘Kiu’ ya kuifunga Simba goli 5.?

Karibia siku 10 sasa tangu @yangasc kuifunga @simbasctanzania goli 5-1 kwenye Derby ya Kariakoo.

Licha Wiki kadhaa kupita lakini tukio hilo ni kama limetokea jana kwa maana ya namna linavyozungumzwa pamoja na Matukio yanayoendelea.

Hii ni ishara kuwa Yanga walikuwa wakisubiria kwa hamu kubwa siku hiyo ya kumfunga Simba goli tano kama vile wao walivyofungwa mwaka 2012.

Rekodi zinaonesha Idadi ya goli tano katika mechi za Simba na Yanga hutokea mara chache sana pengine ni kutokana na Ukubwa wa hizi timu, ubora wa wachezaji wao na namna zinavyojuana.

REKODI ZA KARIBUNI

1977=> Simba 6-0 Yanga
2012=> Simba 5-0 Yanga
2020=> Simba 4-1 Yanga
2023=> Simba 1-5 Yanga

Je, Simba ikishinda TANO itaweka Mabango.?

…✍️Anaandika @fumo255

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents