MichezoUncategorized

Yanga yamkumbuka, Jack Chamangwana ‘R.I.P ulikuwa sehemu ya mafanikio’

Katika kuonyesha kuwa wapo pamoja na familia ya marehemu ya Jack Chamangwana klabu ya Mabingwa wa kihistoria wa ligi kuu soka Tanzania Bara Yanga imemtakia kocha huyo kupumzika kwa amani kwenye nyumba yake ya milele hii ni mara baada ya kufariki Dunia siku Jumapili majira ya jioni kwenye Hospitali ya Queen Elizabeth (QECH) nchini Malawi.

Picha: Rais wa Malawi, Prof. Arthur PeterbMutharika aungana na wananchi kuuwaga mwili wa kocha, Jack Chamangwana

Kupitia ukurasa wake wa kijamii wa Instagram klabu ya Yanga imeandika kuwa kocha. Jack Chamangwana alikuwa sehemu ya mafanikio ya timu hiyo.

R.I.P Coach Jack Chamangwana. Ulikuwa sehemu ya mafanikio na historia ya klabu yetu.

Kama kocha aliipa Yanga mataji mawili ya ligi kuu Tanzania Bara 2005/2006

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents