Michezo

Yanga yatinga nusu fainali ya SportPesa Super Cup Kibabe!!

Klabu ya Yanga kutoka Kutoka Tanzania imetinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya kombe la Sportpesa Super Cup baada ya kuigaragaza Klabu ya Tusker kutoka Kenya kwa magoli 4-2 ya changamoto ya mikwaju ya Penati baada ya kutoshana nguvu dakika 90.

 

Kwa matokeo hayo Yanga itaungana na klabu ya AFC Leopard kutoka Kenya kucheza nusu fainali ya Kombe la Sportpesa Super Cup siku ya Alhamis ya Tarehe 8-June wiki hii saa 8:00 mchana kunako dimba la uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam.

Tiketi za michuano ya SportPesa Super Cup zaanza kuuzwa

By Godfrey Mgallah

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents