Habari

2Face Idibia atarajia kupata mtoto wa saba


Msanii wa Nigeria 2 Face Idibia huenda alipata ‘mswaki’ (F)kwenye somo la uzazi wa mpango.
Yeye na mke wake Annie Macaulay wanatarajia mtoto wao wa pili lakini idadi ya watoto wake aliozaa kabla ya kuoa kufikia saba.
Kwa mujibu wa mtandao wa Gist, Annie hakupenda taarifa za kuwa mjamzito kujulikana kwa sasa na hivyo kujichimbia ndani kwa muda.
Mtandao huo umedai kuwa hivi sasa mrembo huyo hutweet kwa nadra na hivyo kuashiria kuwa atakuwa na kiumbe tumboni. Hata hivyo haijulikani mimba yake ina muda gani.
Wapenzi hao walioana kwenye harusi ya siri jumanne ya May 1, 2012 mjini Lagos huku wageni wakiwa ndugu na marafiki zake wa karibu tu.
Annie na 2 Face wana mtoto wa kike aitwaye Isabella.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents