Ajali Pasaka

Ajali_na_Hiace_face
Wakati narudi toka kwenye Pasaka ndipo nikakutana na ajali Kijitonyama maeneo ya Sayansi, lakini kwa bahati nzuri katika ajali hiyo hakuweza kupoteza mtu maisha kila mmoja alikuwa salama zaidi ya majereha ya hapa na pale

 


Inaweza kuwa sababu ya pombe au ndiyo kawaida maana siku hizi ajali zimekuwa nyingi, usiku na mchana jijini na nje ya jiji hakika ni jambo ambalo linabidi watu wakae chini na wajadili jinsi ya kupambana nalo kwani linapoteza uhai wa watu wegi na hata kulitia hasara taifa.

Ajali

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents