Burudani

Akudo watoa burudani Mango Garden

Akudo_Chritian_Bella

Kundi la muziki wa dance, Akundo Impact linatarajia kuachia albamu mpya hivi karibuni na kufanya Tour, kwaajiri ya kuitangaza zaidi. Hapa mmoja wa mwimbaji wa kundi hilo, Chritian Bella akifanya, akiimba katika moja ya nyimbo zake pale Mango Garden jumamosi.

Akudo_Dram
Mpiga Drums, katika Bendi ya Akudo

Akudo_dencers

Akudo_Emmy

Emmy mwimbaji katika Bendi ya Akudo, amesema anatarajia kuachana na kazi ya kuimba katika bendi na kuimba Injiri, kwakuwa ameona muziki

hamulipi hivyo ni bora akaende injiri kwaajili ya Mungu wake.

Akudo_mpiga_ngoma

Akudo_Rapper_2

Akudo_Rapper

Akudo_wanenguaji_2

Wanenguaji wa Akudo wakifanya vitu vyao wakati bendi hiyo, ilikuwa ikipiga katika ukumbi wa Mango garda

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents