Alikiba ameachia video mpya ya wimbo wake ‘DODO’ Hamisa Mobetto ndani – Video

Alikiba ameachia video mpya ya wimbo wake 'DODO' Hamisa Mobetto ndani - Video

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva @officialalikiba ameachia video mpya ya wimbo wake DODO katika ngoma hiyo mwanadada Hamisa mobetto akiwa kama Video Vixen.

Maudhui ya ngoma hiyo ameiigiza maisha ya kifalme, Wimbo huo umeachiwa tena kwenye akaunti ya Kings Music ya Youtube.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW