Tupo Nawe

Alikiba ampiga mkwara mzito Mbwana Samatta (+video)

Licha ya kupokonywa kocha Jamhuri Kihwelo Julio, msanii Alikiba amempiga mkwara mchezaji wa Taifa Stars na klabu ya KRC Genk, Mbwana Samatta, ambaye wanatarajiwa kukutana kwenye mchezo wao wa hisani wa kuchangia elimu ambao utafanyika Jumamosi ya Juni 9 mwaka huu.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW