Burudani

Alikiba,Cassper Nyovest, Olamide kutumbuiza kwenye ‘One Africa Music Festival’ London

Alikiba, Cassper Nyovest na Olamide wametangazwa kuwa miongoni mwa wasanii wa Afrika watakaotumbuiza kwenye tamasha la One Africa Music litakalofanyika May 13 jijini London, Uingereza.

“The Newest Artiste to be revealed is Tanzania’s finest @officialalikiba and he will be serenading the ladies at the SSE Arena, Wembley London on 13th May ,” wameandika kwenye akaunti yao ya Instaram.

Wasanii wengine wawili watatangazwa wiki hii.

Alikiba anakuwa msanii wa tatu kutoka Tanzania kuwahi kutumbuiza kwenye tamasha hilo. Diamond na Vanessa Mdee walitumbuiza kwenye matamasha yaliyofanyika nchini Marekani katika awamu tofauti.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents