BurudaniVideos

Alpha wa Rwanda ataja nyimbo 5 anazosikiliza sasa, za Bongo ni 4 (Audio)

Mshindi wa shindano la Tusker Project Fame msimu wa 3, Alpha Rwirangira alifanikiwa kuhitimu shahada yake ya kwanza katika fani ya Masoko na Muziki December 2015.

Ameendelea kukaa nchini humo huku akiendelea kufanya shughuli zake na pia muziki hajauweka kando. Amezungumza na mtangazaji wa Amka na Choice, Divine Kweka kuhusu mambo mbalimbali utakayoweza kuyasikia kwenye video hiyo juu.

Kwa upande mwingine, muimbaji huyo amezitaja nyimbo 5 anazosikiliza zaidi kwa sasa kuwa ni:

5. Dume Suruali – Mwana FA f/ Vanessa Mdee
4. Aje – Alikiba
3.Salome – Diamond Platnumz f/ Ray Vanny
2.Muziki – Darassa
1.Ya Mungu – yake mwenyewe

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents