Burudani ya Michezo Live

Anti Virus na Dewaika ndani ya Posta Kijitonyama

ant_virus_face

Mbunge wa Mbeya mjini Sugu anatarajia kuongoza kundi la wasanii wa muziki wa kizazi kipya Vinega, ambao walifanya  albamu ya Ant Virus  katika tamasha la Muziki unalipa, lililoandaliwa na kampuni ya Dewaika Entertaiment, katika viwanja vya Posta Kijito nyama.


Tamasha hilo litakusanya wasanii mbalimbali, ambao wamo kwenye Ant Virus namba moja na Ant Virus II,  siku ya Nov 26 mwaka huu huku wakitoa kauli yao kwamba burudani kwa mashabiki..

Ant_Virus_meneja

Kulia ni Sugu na mratibu wa kampuni ya Deiwaka siku ya uzinduzi wa Ant Vilrus namba One.

ant_virus_vinega

Wasanii walioperform Ant Virus namba moja, hapa wakiwa kwenye mipango ya picha baada ya kumwaga jasho jukwaani

Ant_virus_sugu

Sugu akiimba moja ya wimbo wake..

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW