Michezo

Arsenal wakamilisha usajili wa mshambuliaji Lucas Perez kutoka Deportivo La Coruna.

klabu ya Arsenal ya England imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa kimataifa wa Hispania aliyekuwa anaichezea Deporivo La Coruna Lucas Perez.

article-3765244-37B6E44400000578-853_636x357

Perez mwenye umri wa miaka (27), amesajiliwa kwa dau la pound milioni 17.1 ambazo ni zaidi ya bilioni 49 za Kitanzania, amejiunga na Arsenal kwa mkataba wa miaka minne.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents