Burudani

Asya Idarous atangaza kustaafu kuandaa Lady in Red (+Video)

Mama wa mitindo nchini Asya Idarous ametangaza kustaafu kuandaa tena tamasha la Lady in Red ambalo amekuwa akiliandaa kwa mwaka wa 15 sasa na badala yake ameamua kuwaachia vijana ambao watapenda kulifanya. Asya anatarajia kufanya tamasha lake la mwisho la Lady in Red February 9 mwaka huu katika ukumbi wa King Solomon.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents