Burudani

AT Kuzindua Album

Msanii wa kizazi kipya anayejulikana kwa jina la AT ambaye anatokea katika kundi la uswazi anatarajia kuzindua album yake usiku wa kesho katika ukumbi wa Gymkana la Dar es Salaam. Akiongea na Bongo5 msanii AT amesema kwamba album yake inayokwenda kwa jina la’ Nipigie’ ina jumla ya nyimbo 14 na katika uzinduzi huo wa aina yake, atasindikizwa na wasanii kibao wakiwemo Nyota Ndogo kutoka Kenya, Alikiba,Mheshiwa Temba, MB dogg Gelly Black wa Uswazi, Berry Black,Benja wa Mambo Jambo.

AT anawaambia mashabiki wake wakae tayari kwa track mpya ambayo ameshirikishwa na msanii Berry Black anayodai ni kali hapana mfano.

Hivi sasa wasanii hao wawili wako mbioni kukamilisha video ya track hiyo,ambayo itaonekana papa hapa Bongo5.com punde tu ikishakamilika!

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents