DStv Inogilee!

Audio: Kinasa – Narudi Nyumbani

Kuna njia nyingi za vijana kujitengenezea michongo na kuacha kukaa kitaa huku wakilalamika. Kiswahili na Sanaa (KINASA) wamekuja na ngoma moja inayohamasisha vijana kujiongeza na kutumia fursa zinazowazunguma. Ngoma imefanywa chini ya Utayarishaji wa Tanzania Bora Initiative wakiwa na mzalishaji mahiri Mocco Genius na Director Hanscana. Project nyingine za kijamii ambazo ameziachia ni Fungua Pazia  na pamoja na Sema.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW