Soka saa 24!

Audio: Ndi Ndi Ndi – Aley Star

Msanii wa muziki kutoka Visiwani Zanzibar, Aley Star baada ya kufanya vizuri na wimbo wake wa kwanza, Chimba akiwa ameshirikiana na rapa Rico Single. Wiki hii akiwa chini ya 2K Entertainment ameachia wimbo wake mpya uitwao, Ndi Ndi Ndi – Aley Star.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW