Habari

Australian Open: Serena Williams atolewa na ‘chipukizi’ Sloane Stephens

http://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=qPWvmksDFGw#!

Chipukizi wa Kimarekani Sloane Stephens leo amemshinda nguli Serena Williams na kusonga mbele kwenye hatua ya nusu fainali ya mashindano ya Australian Open. Stephens mwenye miaka 19 ameshinda kwa 3-6, 7-5, 6-4.

Hii ni mara ya kwanza kwa Serena kupoteza ushindi tangu Aug. 17 mwaka jana na kumaliza ushindi wake mfululizo wa mara 20.

Stephens atakutana kwenye nusu fainali na bingwa mtetezi Victoria Azarenka.Maria Sharapova aliyemshinda Ekatrina Makarova jana atakutana na Li Na kwenye nusu fainali aliyemshinda Agnieszka Radwanska.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents