Burudani

AY na Sean Kingston Collabo?!

AY na Sean Kingston

 

Inasemekana kwamba mzee wa commercial AY anatarajia kuelekea mjini Miami nchini Marekani siku za karibuni kwa ajili ya kumsikilizisha Sean Kingston ngoma zake mpya 3. Kuna uwezekano kwamba mtu mzima Sean Kingston atachagua ngoma moja kati ya hizo kwa ajili ya kutupia vocals zake, lakini pia kuna uwezekano wa kuandaliwa kwa wimbo mpya kabisa.

Inasemekana kwamba ngoma hizo tatu za AY zimeandaliwa na producer mkali Hermy B ndani ya studios za B-Hits. We hope AY atafanikiwa katika jitihada zake za kufikisha muziki wetu matawi ya kimataifa.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents