Michezo

B-Ball Kitaa Tournament kuanza Jumapili hii jijini Dar es Salaam

Mashindano ya mpira wa kikapu ya B-Ball Kitaa yanatarajiwa kuanza Jumapili hii kwenye viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam.

Mashindano hayo yatahusisha timu nane ambapo mshindi ataibuka na kitita cha shilingi milioni 1.2. Kutakuwepo pia na zawadi zingine katika shindano la kudunk, kufunga point 3 na pia kutakuwepo na freestyles ambapo mshindi atazawadiwa shilingi laki 5.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents