Burudani
Barnaba alivyotua Hyatt Regency na ulinzi mkali uzinduzi wa Refresh Mind Album (+Video)
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Barnaba amezindua rasmi Albamu yake mpya inayo kwenda kwa jina la Refresh Mind ambapo amesema asilimia 15 ya mapato ya Albamu hiyo amekusudia kurudisha kwa jamii ikiwemo kutengeneza madarasa kwa shule mbalimbali na watu wenye uhitaji.